Genesis 28:13
13
Juu yake alisimama
Bwana
, akasema, “Mimi ni
Bwana
, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.
Copyright information for
SwhNEN